Lengo letu

SVMEP students on a hike
SVMEP students show off paintings
Volunteer reads to SVMEP students
SVMEP staff with graduates
SVMEP students on a playground
SVMEP students with the Duke Dog
SVMEP students participate in a nature workshop
SVMEP students at the Washington Monument

Lengo la Mpango wa Elimu ya Wahamiaji (MEP) ni kuhakikisha kwamba wanafunzi wote wahamiaji wanafaulu kwenye changamoto za masomo na wanahitimu stashada ya shule ya sekondari, au wanakamilisha mitihani ya GED inayowawezesha kwa masomo zaidi, ajira yenye tija, na kuwa washiriki wa jamii wanao wajibika.

Shenandoah Valley MEP inahudumia mifumo ya shule za umma katika miji wa Harrisonburg na Winchester na mikoa ya Clarke, Frederick, Fauquier, Rockingham, na Shenandoah.  Timu yetu inakuwa na mawakili wane (4) wanaoongea lugha mbili (Kihispania/Kiingereza), wafanyakazi kadhaa wanaokuwa wanafunzi wa chuo, na wakufunzi wa kujitolea zaidi ya 40 waliofunzwa.

Pakua kijitabu cha Elimu wa Wahimaji (PDF)

Habari za Covid-19

Ukiwa na maswali yoyote, tafhadli jisikie uhuru kumfikia wakili wako wa wanfunzi kwa mpango, au tutumie barua pepe kwenye shenvalleymigranted@jmu.edu.  Asante!

Mpango wa Elimu ya Uhamiaji (MEP) ni sehemu ya Chuo Kikuu cha James Madison.  Tafadhali angalia taarifa rasmi inayotolewa na chuo kuhusu mlipuko ya Covid-19.  Taarifa