Wazazi na Wanafunzi

Migrant Education works with the public schools to advocate for educational rights and opportunities for the children of migrant workers.

UNAWEZA KUFUZU…

Kama wewe au mtoto wako mna umri kati ya miaka 3 na 21 na familia yako imehamia katika kipindi cha miaka 3 iliopita kwa kusudi la kutafuta kazi katika kilimo au usindikaji wa chakula kibichi. Kazi inayoweza kukufanya ufuzu:

  • Kuvuna matunda, maboga za majani, au tumbaku
  • Kufanya kazi na mifugo au bidhaa mbichi za chakula katika kiwanda cha kuku
  • Mbao au upandaji wa mimea kwa kuuzwa kwa biashara (haijumuishi uboreshaji wa ardhi)
  • Kilimo cha maziwa
  • Uvuvi wa samaki

JE, MPANGO WA ELIMU YA WAHAMIAJI UNASAIDIA NINI KWA WATOTO WAKO?

  • Wakufunzi kwa wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada wa kimasomo
  • Wakufunzi kwa wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada wa kimasomo
  • Tafsiri kwa shule na/au miadi ya afya
  • Msaada na michakato ya huduma za kijamii kama vile Medicaid na SNAP
  • Habari juu ya rasilimali za jamii
  • Programu za kiangazi

HUDUMA ZOTE NI ZA BURE BILA MALIPO!

Pakua Dodoso la Kustahiki (Word) - Kiingereza